Voice Recognition
X
Header Background

Jiunge na Familia ya Preschool Promise!

Jiunge na Familia ya Preschool Promise!

Outreach Swahili
Familia za Kaunti ya Montgomery zinazojiunga na Preschool Promise hupokea faida kubwa BILA MALIPO
ili kumwandaa mtoto WAKO kwa Shule ya Chekechea!

*Mtoto wako lazima atimize umri wa miaka 4 kufikia tarehe ya kuingia katika wilaya ya shule yako kwa Chekechea au ifikapo tarehe 30 Septemba, 2022.

1. Kitabu-cha-Mwezi

2. Sanduku la Cheza la Kila Robo

3. Usaidizi wa Masomo ikiwa hujastahiki Shule ya Mapema bila malipo

4. Ujumbe mfupi wa kila wiki zenye Vidokezo vya Utayari wa Shule
ya Chekechea

5. Kadi ya siku ya kuzaliwa, kingilio cha siku 1 cha familia kwenda kwenye Boonshoft Museum of Discovery, koni ya aiskrimu ya UDF

6. Kadi za posta zenye vidokezo vya kufurahisha vya kujifunza

7.T-shirts za Preschool Promise kwako wewe na mtoto wako
© 2023. Preschool Promise. All Rights Reserved.